- Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa chale mwilini au una mikwaruzo.
- Unaweza kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama
- Unaweza ota unalima na asubuhi unaamka umechoka
- Unaweza kuhisi mwili wako kuna vtu vinatembea kama siafu au joto lisilo la kawaida sehemu ya viungo
- Kuhisi ganzi na kichwa upande mmoja kisichopona
- Macho kushindwa kuona darasani au ofisini lakini ukiwa nje unakuwa sawa
- Kushindwa tendo la ndoa au kuhisi hupendi kabisa na ukilazimisha unashindwa
- Kupiga mihayo mingi mara kwa mara bila usingizi au njaa
- Kuhisi umebeba vitu mgongoni na kuhisi kifua kizito
- Kuhisi kuna mtu amekusimamia au anakufuata nyuma na ukigeuka huoni mtu huyo
- Kukata tamaa ya maisha na kuona kila kitu hakiwezekani
- Kuingia kwenye hedhi bila mpngilio na kwa shida
- Kutoka damu ya hedhi bila kukoma kwa miezi au damu kupotea na hali huna mimba
- Kuchukiwa na kila mtu bila sababu hata jamaa na marafiki
- Kuongea usiku na kupiga kelele
- Kuota nyoka mara kwa mara na paka hasa weusi
- Kuota uko msituni mara kwa mara
- Kuota uko chooni au bafuni au sehemu chafu mara kwa mara
- Kuota unakojoa mara kwa mara na wakati mwingine unakaribia kukojoa kitandani
- Kuota watu waliokufa na unaongea jamaa zako marehemu mara kwa mara
- Kuota uko makaburini mara kwa mara
- Choo inakuwa ngumu hata kama unakula matunda na unajisaidia mavi kama ya mbuzi kwa taabu na muda wote na hili hali minyoo
- Kutingisha baadhi ya viungo vya mwili na kuhisi kitu kinatembea tumboni mgongoni au sehemu za mwili
- Kuota unagombana na kundi la watu kwa vitisho mpaka unatoka jasho
- Kuhisi woga na moyo kudunda mara kwa mara ghafla
- Kupata stroke zisizoeleweka chanzo chake hasa ukiwa na nafasi na neema kubwa kwenye kazi au biashara au unapoishi
- Kushindwa kuongea ghafla na kuwa bubu mtu mzima aliyekuwa mzuri kwa kuongea na kushauri watu
- uume kurudi ndani nakuwa mdogo kama wa mtoto au pili pili na hali ulikuwa na urefu wa kawaida
- Matiti kurudi ndani kwa mwanamke ghafla
- Kuchukia mke au mme na kuona ana sura kama ya mbwa au mbaya na wakati wengine wanamuona mzuri sana
- Kusinzia sana na wakati mwingine kusinzia kazini na kushindwa kazi
- Bosi na watu muhimu kukuchukia bila sababu hata kama ni mchapakazi hodari
- Kupenda kuzini na kulewa mpaka ukaamua kuwa wewe na zinaa, pombe, maisha ndo sehemu ya maisha yako, shetani anakuwa anakuendesha kama gari
- Kuzama kwenye matatizo makubwa ya kimaisha mara kwa mara na mikosi inakuwa kama ndo sehemu ya maisha yako
- Kusikia unaitwa jina lako usiku au mchana na mtu aliyekuita humuoni
- Kushindwa ibada na kusinzia wakati wa ibada na kwenye hotuba za dini zenye kuamrisha mema na kukataza mabaya hupendi na ukiwepo unasinzia mara moja bila kutaka
Dalili hizo ni za kufanyiwa uchawi au kuwa na majini yanayokusumbua ya kiuchawi
Mawasiliano: Upate huduma
kwa mfano mimi nina majini laki hayaongei tatizo nn?0714865763
ReplyDeleteHata mm Nina majini mabaya hayaongei Ila Mara kwa Mara naambiwa Ni jini maiti...hata sielewi la kufanya
DeleteNini cha kufsnya iwapo moja ya tatizo hilo ninalo?
ReplyDeleteNina tatizo la ganzi na kukosa nguvu mwilini. Hospitap awalioni tatizo nifanyeje?
ReplyDeleteNahitaji msaada mke wangu ana majini na hayataki akae na mm. Kila mara anatoweka nyumbn 0755816304
ReplyDeleteNaomba hicho kitabu cha kujitibu maana kuna Dalili nimeziona kwangu
ReplyDelete